K2 150x150 - Gospel star out to reveal how Huddah Monroe played a major role on his way to fame

Kenyan based Tanzanian singer, Kizo-B, recently disclosed how he got to rise to fame and who was actually behind his success. To your surprise, Kenyan socialite Huddah Monroe was his answer when no one knew who he was or whether he existed. During an interview with Mseto East Africa, the Secular artist who recently gave his life to Christ revealed that: Huddah alinisaidia sana, alikuwa anatembea na CD yangu kwa handbag yake, akapea Kajairo. Kajairo after kusikia hiyo ngoma akatuma Huddah akamwambia nataka kuona huyu msanii, so sikuwa na simu. So Huddah kile alifanya kwa sababu alikuwa najua mahali nilipenda kushinda. Akakuja huko akaniambia saa kumi onana na Kajairo pale Nation centre anakutafuta. Kajairo akaniambia unaimba vizuri sana. ¨Unaishi wapi?¨ [Kajairo] Nikamueleza sina mahali pa kukaa, nalala kwa studio na kwa roundabout pale Koja kabla wabomoe. Akaniambia anaishi hapo pande za Integrity Centre if you don´t mind unaeza kuja ukae tuone vile tunaweza fanya music your music. Akaninunulia simu yangu ya kwanza. Kizo-B Kajairo was at the time, a radio presenter at Q-FM. Kizo-B further unveils: Huddah alinisaidia sana. Ndio alikuwa mtu wa kwanza kuchukua ´ulinibeep´ na kuisambaza kwa watu. Kuna studio initwa Brimstone hapo Koja na kashop flani walikuwa wanapenda sana kutengeneza juice za maembe. Hizo time Huddah hakuwa amegrow but she was still beautiful vile ako sahizi. Na alikuwa anajuana na mabigfish kama kina Kajairo na wengine. Tunakutana nayeye Brimstone nikamueleza shida yangu. Uzuri ni kwamba alikuwa ana kadoo kidogo. So for one month alikuwa anatoka mahali alikuwa anatoka na maziwa kwao. Anakuja tao ananinunulia chipo na juice nikule juu ya hio ngoma yangu akisema wewe utatoboa.

The post Gospel star out to reveal how Huddah Monroe played a major role on his way to fame appeared first on Ghafla! Kenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *